Balozy Ya Kazi: Kwa Nini Balozy Ni Zaidi ya M-Pesa na Uber
Katika miaka michache iliyopita, teknolojia imebadilisha kabisa namna tunavyoishi, kufanya biashara na kupata huduma. Leo, ni kawaida kutumia M-Pesa kutuma pesa, Uber kuagiza usafiri, au apps nyingine kupata chakula, bidhaa…